UpperTech Company Ltd
🚀 Mfumo wa Biashara

Simamia Biashara Yako Kwenye Mfumo Mmoja

FanyaBiashara ni mfumo unaounganisha usimamizi wa biashara, stoku, mauzo, manunuzi, uhasibu, huduma na biashara ya mtandaoni katika sehemu moja.

Fanyabiashara Dashboard

Mfumo wa Kisasa kwa Usimamizi wa Biashara

FanyaBiashara inasaidia biashara na karakana kusimamia shughuli zao kidigitali kwa urahisi, kwa kutumia zana za mauzo, manunuzi, stoku, huduma, uzalishaji na ripoti.

Mauzo ya Mtandaoni

Uza bidhaa/huduma zako mtandaoni na uwafikie wateja wengi zaidi.

Usimamizi wa Stoku

Fuatilia bidhaa zinazoingia na kutoka kwa usahihi.

Uhasibu na Ankara

Andaa ankara na fuatilia mapato pamoja na matumizi.

Uzalishaji

Fuatilia mchakato wa uzalishaji kutoka malighafi hadi bidhaa kamili.

Usimamizi wa Watumiaji

Panga ruhusa za watumiaji kulingana na majukumu yao.

Mawasiliano

Wasiliana na wateja na wauzaji moja kwa moja ndani ya mfumo.

Hatua 4 Rahisi za Kuanza

01

Jiunge Bure

Fungua akaunti yako kwa dakika chache.

02

Weka Biashara

Ongeza taarifa za biashara na matawi yako.

03

Ongeza Bidhaa/Huduma

Weka bidhaa, stoku na huduma unazotoa.

04

Anza Kusimamia

Fanya mauzo, ankara, ripoti na ufuatiliaji wa kila siku.

0
+

Biashara zinatumia mfumo

0
+

Bidhaa zimeorodheshwa

0
+

Miamala imefanyika

Faida za Kutumia FanyaBiashara

Kuokoa muda wa kufanya mahesabu
Kupunguza makosa ya stoku
Kufuatilia uzalishaji kwa usahihi
Kuongeza mauzo kupitia e-commerce
Kuunganisha mfanyabiashara na wateja

Kwa Wafanyabiashara na Wateja

Kwa Mfanyabiashara

  • Simamia bidhaa na stoku
  • Fuatilia mauzo na mapato
  • Rekodi uzalishaji
  • Pata ripoti za biashara
  • Simamia wafanyakazi

Kwa Mteja

  • Tafuta bidhaa kwa urahisi
  • Nunua moja kwa moja mtandaoni
  • Wasiliana na muuzaji
  • Fuatilia ankara zako

Watumiaji Wanasemaje

Mfumo wa FanyaBiashara umenisaidia kufuatilia stoku na mauzo yangu kwa urahisi sana. Sasa naokoa muda mwingi!

Amina Hassan Mfanyabiashara — Dar es Salaam

Kupitia FanyaBiashara nimeweza kuuza bidhaa zangu mtandaoni na kufikia wateja wengi zaidi kuliko hapo awali.

John Mwamba Mfanyabiashara — Arusha

Ufuatiliaji wa uzalishaji kutoka malighafi hadi bidhaa kamili umekuwa rahisi sana. Mfumo huu ni wa kipekee!

Grace Kimaro Mfanyabiashara — Mwanza

Anza Kusimamia Biashara Yako Kidigitali Leo

Jiunge na FanyaBiashara na badilisha jinsi unavyoendesha biashara yako.